20 Juni 2025 - 14:44
Shuhudia umati mkubwa wa watu wa Tehran katika maandamano ya Ijumaa ya Ghadhabu na Ushindi | Picha na Video

Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) -ABNA- Leo Ijumaa (20-06-2025) umti mkubwa wa Watu - Wanawake, Watoto kwa Wazee - Wajitokeza kwa wingi Jijini Tehran katika Sala ya Ijumaa na Maandamano ya Ijumaa ya Ghadhabu na Ushindi dhidi ya Utawala Ghasibu wa Israel.

Your Comment

You are replying to: .
captcha